#muswadawahabari2016

3 posts tagged with #muswadawahabari2016

Photos and Videos about #muswadawahabari2016

Ishi Kistaa
(@ishikistaa)

2016-11-04 05:48:23

Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kumfuta kazi waziri mkuu,Kassim Majaliwa kwa madai kuwa ameshiriki kupanga mpango wa siri wa kuwapa rushwa ya milioni 10 kila mbunge wa CCM ili wapitishe muswada wa huduma za habari. #kasimmajaliwa #freemanmbowe #johnmagufuli #serikali #muswadawahabari2016

Ishi Kistaa
(@ishikistaa)

2016-11-01 00:42:39

Muswada wa habari kujadiliwa na bunge licha ya wadau kuomba muda zaidi. #muswadawahabari2016 #bungetz #habari